Loading...
title : WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA
link : WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA
WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akihutubia wakati zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani iliyofanyika mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani iliyofanyika mjini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akishiriki katika zoezi la upandaji miti katika kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akifurahia jambo na Wajumbe wa kamati ya bunge ya viwanda , biashara na Mazingira katika siku ya zoezi la programu ya upandaji wa miti na kuifanya Dodoma kuwa ya kijani.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria katika zoezi hilo wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani)
Pichani Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakitumbuiza wakati wa zoezi hilo la upandaji miti.
Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-makamba-aongoza-shughuli-za.html
0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA"
Post a Comment