Loading...

WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

Loading...
WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
link : WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

soma pia


WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola  kwenye msiba wa  mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijinio Dar es salaam leo January 3, 2018 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
PMO_4794
Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018  kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
PMO_4800
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,akitoa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018  kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi tarehe 1/1/2018.
PMO_4808
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,akitoa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 3, 2018  kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi tarehe 1/1/2018.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-aomboleza-msiba-wa-mke-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA"

Post a Comment

Loading...