Loading...

Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti

Loading...
Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti
link : Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti

soma pia


Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti



Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akizungumza kabla ya kukabidhi kifaa cha kupimia pumu kwa watoto na watu wazima na Vifaa vya Kujifungulia katika Zahanati ya Vingunguti , ambayo Wanawake hufika hapo bila ya kuwa na Vifaa vya kujifungilia, hivyo vitaweza kuwasaidia wale ambao hawatakuwa na uwezo.

Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, akizungumza kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kupokea Vifaa hivyo na kuvikabidhi katika Zahanati ya Vingunguti

Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi kifaa cha kupimia Pumu kwa Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.

Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi Vifaa vya Kujifungulia wajawazito kwa Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti, Sharif Mbulu akizungumza na kushukuru mara baada ya kupokea Vifaa kwa ajili ya Hospitali ya Vingunguti

Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto na Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, wakikabidhi Mbuzi kwa ajili ya Madkatari na wauguzi wa Zahanati ya Vingunguti.


Hivyo makala Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti

yaani makala yote Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/afya-kumbilamoto-akabidhi-kifaa-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Afya : Kumbilamoto akabidhi kifaa cha Kupima Zahanati ya Vingunguti"

Post a Comment

Loading...