Loading...

DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)

Loading...
DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)
link : DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)

soma pia


DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein leo Februari 4, 2018 ameongoza Kikao cha kawaida cha siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar.

Hiki ni Kikao cha kwanza tangu Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) walipochaguliwa  kupitia Mikutano Mikuu ya Mikoa, Jumuiya na Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika mwaka jana katika Uchaguzi wa Chama.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili na kupokelewa na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya CCM kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa CCM uliofanyika mwaka jana Dodoma.(Picha na Ikulu).

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo wa kwanza wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu) .



Hivyo makala DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)

yaani makala yote DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dk-shein-aongoza-kikao-cha-kamati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)"

Post a Comment

Loading...