Loading...
title : Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe
link : Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe
Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe
Ni mwaka moja umepita tokea ulipotuacha. Tokea ulipotoweka hakuna siku inayopita ambapo haupo katika mioyo na akili zetu. Enzi za uzima wako matendo yako yaligusa mioyo mingi kwa namna ya kipekee ambayo Wewe tu uliweza.
Roho yako ya huruma bado ipo pamoja nasi na mara kwa mara hugusa mioyo na akili zetu na kutupa sababu ya kutabasamu. Umejitwalia nafasi yako miongoni mwa nyota za mbinguni na shime ung’ae milele. Unakumbukwa sana na kila mtu hapa duniani. Ulitoweka kwa uchungu sana bila hata ya kutuaga.
Tunakufikiria sana kimyakimya. Hakuna jicho linaloweza kutushuhudia tukiomboleza, ila machozi mengi yanatiririka ndani kwa ndani. Tunafarijika kwa kutambua kuwa ipo siku tutakutana na Wewe tena. Unakumbukwa sana na watoto, wakwe na wajukuu wako.
Familia ya Marehemu Balozi Cecil A Kallaghe inawaalika ndugu na marafiki wote katika Misa ya Kumbukumbu tarehe 3 Februari 2018 itakayofanyika katika kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es Salaam saa 2 asubuhi. Mkesha utafanyika nyumbani Mbezi Temboni tarehe 2 Februari 2018.
Hivyo makala Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe
yaani makala yote Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/kumbukumbu-ya-kifo-cha-marehemu-mama.html
0 Response to "Kumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe"
Post a Comment