Loading...

MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA

Loading...
MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA
link : MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA

soma pia


MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji
MBUNGE wa jimbo la Rufiji,mkoani Pwani,Mohammed Mchengelwa amesema Rais Dkt.John Magufuli hakukosea kuridhia kujengwa kwa mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (stiegler's gorge) kwani utafungua milango ya kibiashara ,uchumi ,ajira na maendeleo wilayani humo.
Aidha ameeleza ataendelea kupigania kujengwa kwa barabara kutoka Nyamwage-Utete kwa kiwango cha lami , ili kuondokana na adha wanayoipata watumiaji wa barabara hiyo .
Akizungumzia utekelezaji na namna anavyoendelea kusimamia changamoto zinazowakabili wakazi wa Rufiji,katika mkutano wa wanaCCM Utete na mkoa,Mchengelwa alisema hatokata tamaa kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo .
Alisema nishati ya umeme haijafika kwenye baadhi ya maeneo lakini kutokana na ukubwa wa mradi wa stigglers gauge utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawatts 2,100 za umeme.
"Nampongeza Rais Dk.Magufuli kwa kuridhia na kuelekeza ujenzi huo ujengwe katika wilaya hii,itakuwa mkombozi mkubwa kwetu ,Na uhakika utafungua fursa nyingi za kimaendeleo na kiuchumi " alisema Mchengelwa
 Mbunge wa  jimbo  la  Rufiji ,Mkoani Pwani ,Mohammed Mchengelwa akielezea utekelezaji katika uongozi wake katika kipindi cha miaka  miwili kwa  baadhi ya wanachama wa  Chama Cha Mapinduzi na wananchi Utete ,wakati walipotembelewa na uongozi wa  CCM Mkoani humo.
Mbunge wa  jimbo  la  Rufiji ,Mkoani Pwani ,Mohammed Mchengelwa akimjulia hali mgonjwa katika hospital ya Utete wilayani Rufiji .
(Picha na Mwamvua Mwinyi) Kwa habari zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA

yaani makala yote MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/magufuli-amewatendea-haki-wanarufiji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGELWA"

Post a Comment

Loading...