Loading...

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

Loading...
MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI
link : MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

soma pia


MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiwa huru mfanyabiashara Abdullah Hauga (73) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kupeperusha bendera ya Tanzania bila kibali.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Nolle Prosequi kuwasilisha chini ya kifungu cha sheria namba 91(1) cha mwenenendo wa makosa ya jinai kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Hauga.

Kabla ya kuachiwa, Mahakama ilitupilia mbali hati ya kuzuia ya dhamana ya DPP na  kisha kutoa masharti ya dhamana kwa washtakiwa.Mbali ya Hauga mshtakiwa mwingine ni Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39).

Mapema, Wakili wa Serikali, Salim Msemo alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Victoria Nongwa kwamba shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya uamuzi kuhusu DPP kuzuia dhamana kwa washtakiwa.Katika uamuzi wake, Hakimu Nongwa amesema alisikiliza hoja za pande zote mbili na pia amesoma uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ambayo imemuondolea DPP mamlaka ya kuzuia dhamana.

Hakimu Nongwa amesema Mahakama ya Rufaa ndio ya juu nchini, hivyo maamuzi yake lazima yaheshimiwe kwani kuzuia dhamana kwa washtakiwa ni kuwanyima haki.Amesema kibali cha DPP kimewasilishwa wakati Mahakama ya Rufaa nayo imetoa uamuzi kuhusu suala hilo.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

yaani makala yote MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mahakama-yamuachia-huru-aliyepeperusha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI"

Post a Comment

Loading...