Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU
link : MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU
MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo la Mwanjolo wilayani Meatu mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa bwawa la maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo la Mwanjolo wilayani Meatu mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandishi Isack Kamwelwe akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa bwawa la maji Mwanjolo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasalimia wananchi wa Mwanjolo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la Maji Mwanjolo, Meatu. (picha na ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/makamu-wa-rais-afanya-ziara-wilayani_20.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MEATU MKOANI SIMIYU"
Post a Comment