Loading...
title : MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA
link : MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA
MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA

Mkurugenzi Mtendaji Bw. William Makufwe akisaidiana na mganga mkuu katikati na mkuu wa Mkoa kutoa hadubini tayari kwa kuikabidhi kwa viongozi wa Komkonga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela(kulia) akikabidhi hadubini kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Komkonga Bw.Omary Mngazija ikiwa ni moja ya kifaa kwaajili ya kuboresha huduma za Zahanati ya Komkonga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru Rais kwa fedha alizozitoa na kufikia hatua ya kupokea Vifaa hivyo kwenye Zahanati ya Komkonga.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA
yaani makala yote MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mapokezi-ya-vifaa-vya-matibabu-zahanati.html
0 Response to "MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA"
Post a Comment