Loading...

SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Loading...
SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
link : SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

soma pia


SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO- DODOMA.
Serikali imepokea zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi kwa ajili ya wasimamizi wa mashauri ya watoto ngazi ya jamii inayojumuisha kata, vijiji na mitaa.

Zana hizo zimekabidhiwa leo mjini Dodoma kwa Kamisha wa Maendeleo ya Jamii Dkt. Naftal Ng’ondi na Shirika la John Snow Inc(JSI) kushirikiana na MEASURE Evaluation na PACT Tanzania kupitia Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii(CHSSP) unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID).

Wakati wa makabidhiano hayo Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi amesema kuwa ni muhimu kupeana taarifa katika utekelezaji wa mipango mbalimbali iliyopo ili kuwe na matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo hivyo zana hizo zitasaidia katika utoaji wa taarifa zilizo sahihi.

Dkt. Naftali Ng’ondi ameongeza kuwa Serikali kupitia Idara ya Ustawi wa Jamii itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha mtoto anayeishi katika mazingira hatarishi anapata huduma stahiki.

“ Zana hizi zitasadia wasimamizi wa mashauri ya watoto ngazi ya jamii katika kuwasaidia watoto waliopo katika mazingira hatarishi” alisema Dkt. Ng’ondi.
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii  Dkt. Naftali Ng’ondi akikata utepe kuzindua zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi katika hafla ya makabidhiano ya zana hizo katika Ukumbi wa Hazina leo Februari 14, 2017  mjini Dodoma.
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii  Dkt. Naftali Ng’ondi pamoja na wadau wakionesha zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi katika picha ya pamoja na wadau hao mara baada ya Kikao cha makabidhiano ya  zana hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina leo Februari 14,2017 mjini Dodoma. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

yaani makala yote SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/serikali-yapokea-zana-zitakazotumika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI"

Post a Comment

Loading...