Loading...
title : MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
link : MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), na Naibu Katibu Balozi Hassan Simba Yahya (wanne kulia), wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara .Wengine ni viongozi wa Chama cha Wafanyakazi tawi la wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala na Kamishna wa Magereza anayeshughulikia Utawala na Fedha, Gaston Sanga wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye(kushoto) na Kamishna wa Magereza anayeshughulikia Utawala na Fedha, Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye,akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala na Kamishna wa Magereza anayeshughulikia Utawala na Fedha, Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
yaani makala yote MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/masauni-afungua-kikao-cha-baraza-la.html
0 Response to "MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI"
Post a Comment