Loading...
title : THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI
link : THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI
THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI
Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw Makbel akizungumza juu ya mpango wa uanagenzi ulivyoweza kuwasaidia Vijana wengi kuingia katika sekta rasmi na kuweza kushindana na wasomi wengine ambao walipata ujuzi katika mfumo wa kawaida.
Mwakilishi wa Tasisi ya Vijana Think Tank akizungumza namna Vijana wanavyotakiwa kufikiri zaidi hili waweze kujikwamua katika wimbi la kukosa ajira kwa kusema kuwa kila mwaka kundi la Vijana wasiokuwa na ajira wanavyoongezeka
Mtaalamu wa Masula ya ushauri wa kujikwamua na ajira kutoka Shirika la kazi Duniani ILO, Comoro Mwenda akitoa somo ya namna vijana nini waweze kufanya hili kufikia malengo yao ya kuajiriwa au kujiajiri popote pale duniani
Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Launch Pad Tanzania, Caroline Ndosi akizungumza wakati wa akiongoza Meza ya mjadal awakati wa kongamano la kuwajengea Vijana uwezo wa ujasiliamali na kuweza kuajirika katika Tasisi mbalimbali.
Sehemu ya Vijana kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania walioshiriki Kongamano la Kuongeza Maharifa ya ujasiliamali na kuajirika lililoandaliwa na Tasisi isiyo ya Kiserikali ya The Launch Pad
Hivyo makala THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI
yaani makala yote THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/the-launch-pad-yawanoa-vijana.html
0 Response to "THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI"
Post a Comment