Loading...

Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga

Loading...
Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga
link : Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga

soma pia


Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga



Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa waki hamasisha mpango wa Toto Afya kadi
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi

Mmoja kati ya wakazi wa Jiji la Tanga katikati akimsikiliza kwa umakini afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga kuhusu umuhimu wa mpango wa Toto Afya kadi
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kulia akitoa elimu ya namna ya kujiunga na mpango wa Toto Afya kadi kwa watoto mkazi mmoja wa Jiji la Tanga ambaye aliwatembelea kwenye banda lao eneo la Tangamano
Sehemu ya wananchi wa Jiji la Tanga wakiingia kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati mfuko huo ulipokuwa ukihamasisha umuhimu wa wazazi na walezi kuwaingiza watoto wao kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze kunufaika na matibabu zoezi hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Tangamano(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)


Hivyo makala Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga

yaani makala yote Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/matukio-nhif-tanga-waendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : NHIF Tanga, Waendelea Kuhamasisha Mpango wa Afya kadi kwa Wakazi wa Jiji la Tanga"

Post a Comment

Loading...