Loading...

Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu

Loading...
Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu
link : Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu

soma pia


Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa tukio la kumkabidhi Bajaji kwa mmoja wa watumishi wa ofisi yake

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akikabidhi nyaraka za umiliki wa Bajaji kwa Bw. Abbas Mpunga.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akikata utepe kabla kumkabidhi Bajaji mmoja wa mtumishi wake Bw. Abbas Mpunga.

Bw. Abbas Mpunga akishuhudiwa na watumishi wenzake akiwa katika Bajaji yake mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

Bw. Abas Mpunga akipongezwa na mtumishi mwenzie mara baada ya kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

Bw. Abbas Mpunga akiwa na watumishi wenzake kabla ya kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) itakayomuwezesha kiutendaji.


Hivyo makala Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu

yaani makala yote Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/matukio-ofisi-ya-rais-utumishi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu"

Post a Comment

Loading...