Loading...
title : POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA
link : POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA
POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA
Na David John
KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa.
Amesema kuwa pamekuwepo na malalamiko mengi juu ya eneo hilo hivyo lazima viongozi hao wachama Wilaya kuwaita viongozi hao wa Halmashauri ili waje kueleza.
Polepole ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashuri kuu aliyasema hayo katika kongamano la Maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa Chama hicho. Ambapo pamoja na mambo mengine alisema viongozi hao wa Halmashauri waitwe ili waseme fedha hizo wanamkopesha nani.
"Hapa kuna Malalamiko mengi sana kuhusu mikopo hii nani anapewa sasa ndugu Mwenyekiti mwiteni mkurugenz na watu wake muulizeni hizo fedha anapewa nani "amesema Polepole .Nakuongeza kuwa wanachama hawa wa Chama cha Mapinduzi hawapati mikopo,wanamchi.maana hata kwenye maeneo ambako madiwani wa vyama vingine fedha zinakwenda kwa watu wao.

Hivyo makala POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA
yaani makala yote POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/pole-pole-amtaka-mkurugenzi-halmashauri.html
0 Response to "POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA"
Post a Comment