Loading...
title : Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe
link : Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe
Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.
Baadhi ya wananchi wa Ukerewe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio kuhutubia mkutano wa hadhara, Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Dianna Malele (kushoto) wakati alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Rizika Shaka (kushoto) wakati alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe
yaani makala yote Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/matukio-waziri-mkuu-majaliwa-ahitimisha.html
0 Response to "Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe"
Post a Comment