Loading...
title : MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA
link : MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA
MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA
Uongozi wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania ukitembelea bwawa linatumiwa kufundishia wanafunzi ufugaji wa samaki katika Chuo cha Kilimo, Mifugo na Maliasili (Canre), kilichopo Bonyokwa nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Anaye waongoza ni Mkuu wa Chuo hicho, Sylvester Nakara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Myandao wa Kijani Kibichi Tanzania, Adam Nagamange akionesha kitabu alichotunga cha Wewe ni Bilionea wa Mtaji Sifuri, ambapo aliwaeleza wanafunzi na walimu wa Chuo cha Canre kuwa ili uondokane na umasikini jitahidi kukisoma kitabu hicho chenye mambo mengi muhimu ya kuyafuta hakika muda i mrefu utakuwa tajiri. Kwanza anza na Wazo, Uhusiano na Mawsiliano katika jamii ni muhimu, kusoma vitabu na kuhudhuria mafunzo mbalimbali, usisahau kuwa karibu na vyombo vya habari pamoja na kufanya utafiti kwa yale yote unayotaka kuyafnya ili uwe na uhakika zaidi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Canre, Dk. Aloyce Masanja akizungumza na uongozi wa Mkikita uliomtembelea na kutoa mafunzo kwa wanafunzi na walimu wa chuo hicho kuhusu faida za uwekezaji katika kilimo biashara. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kissui Steven Kissui, Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange na Mdau wa Mkikita, Richard
Uongozi wa Mkikita ukiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo cha Canre
Uongozi wa Mkikita ukitembelea maeneo ya Chuo hicho.
Hivyo makala MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA
yaani makala yote MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mkikita-watembelea-chuo-cha-kilimo.html
0 Response to "MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA"
Post a Comment