Loading...
title : MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI
link : MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI
MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI
RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin akikata utepe kuashiria uzinduzi wa zoezi kupanda miti kwenye Shule ya Wasichana Jangwani kushiriki zoezi la kupanda miti kwa lengo kuunga mkono mapinduzi ya kijani na utunzaji wa mazingira. Wanaoshuhudia ni Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (kulia kwake) District Governor, Bwana Kenneth Mugisha (kulia), Mkewe Esther (wa pili kulia) Pamoja nao ni wanafunzi wa shule hiyo. #RIPEinD9211.
District Governor Kenneth Mugisha akipanda mti kwenye Shule ya Wasichana Jangwani kushiriki zoezi la kupanda miti kwa lengo kuunga mkono mapinduzi ya kijani na utunzaji wa mazingira. Wanaoshuhudia (kulia kwake) ni Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mteule wa Rotary International, Barry Rassin (wa pili kulia) na Mke wa Rais Rassin, Esther (kulia) Pamoja nao ni wanafunzi wa shule hiyo. #RIPEinD9211
RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin (kushoto) akiagana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi baada ya kushiriki zoezi la upandaji miti kwenye shule hiyo. Katikati ni District Governor, Kenneth Mugisha.
RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin alipowasili kwenye Wodi ya watoto wenye mahitaji maalum iliyodhaminiwa na Rotary Clubs kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa ziara yake hospitalini hapo.
Hivyo makala MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI
yaani makala yote MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mwinyi-ashiriki-kupanda-miti-na-rotary.html
0 Response to "MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI"
Post a Comment