Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ
link : RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ
RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo.Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-dkt-magufuli-na-makomandoo-wa-jwtz.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ"
Post a Comment