Loading...

Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

Loading...
Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba
link : Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

soma pia


Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

Nteghenjwa Hosseah,Chemba.

Naibu Waziri Ofisi yaRais- TAMISEMI Mhe. Joseph George Kakunda ameiagiz ahalmashauri ya Wilaya ya Chemba kumsimamisha Mhandisi wa Maji wa Halmashauri hiyo kwa kushindwa kusimamia miradi ya maji.

Mhe.Kakunda alitoa maagizo hayo wakati wa ziara yake Wilayani humo aliyoifanya ambapo alikagua miradi ya maji na kuzungumza na wananchi wa vijiji vya Lahoda,Kisande na Honta.

Baada ya kufanya ukaguzi huo na kubaini mapungufu yaliyopo kwenye miradi ya maji sambamba na kumsimamisha Mhandisi wa Maji pia aliagiza OR-TAMISEMI kufanya Ukaguzi wa Kitaalamu (Technical Audit) ya miradi yote ya maji ambayo imeonekana kwa macho kutotekelezwa kwa kiwango na bado haijaanza kufanya kazi katika Halmashauri ya Chemba.

“Serikali imetoa Fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi hii ili kupunguza kero kwa wananchi wetu lakini wasimamizi wa Miradi hawatekelezi wajibu wao ipasavyo katika kusimamia miradi hiyo na wananchi wetu bado wananednelea kuteseka kwa sababu ya Uzembe wa watu wacheche hii haitakubalika lazima wachukuliwe hatua” Alisema Kakunda.

Naibu Waziri Kakunda wakati wa ziara hiyo pia alitembelea Shule ya Msingi Lahoda na alikutana na mwananfunzi mwenye ulemavu wa ngozi na kuelekeza Halmashauri ya Chemba iwei na mpatia mahitaji muhimu mwanafunzi huyo.
Naib wa Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda akikagua mradi wa maji Lahoda-Kisanda wakati wa ziara yake Wilayani Chemba.
Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe.Joseph kakunda (kulia) akizungumza na mwanafunzi Fatuma Ramadhani wakati alipotembelea shule ya Msingi Lahoda.
NaibU Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda akikagua mradi wa maji Lahoda-Kisand
NaibU Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda akizungumza na wananchi wa vijiji vya Lahoda,Kisanda na Honta wakati wa ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.


Hivyo makala Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

yaani makala yote Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/naibu-waziri-kakunda-amsimamisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba"

Post a Comment

Loading...