Loading...

NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI

Loading...
NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI
link : NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI


Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua eneo la uchimbaji madini ya makaa ya mawe katika kijiji na Kata ya Magamba baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya uchimbaji madini Mkoani Songwe, Leo 23 Februari 2018.
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Mbozi mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya uchimbaji madini Mkoani Songwe, Leo 23 Februari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru Blog
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua eneo la uchimbaji madini ya makaa ya mawe katika kijiji na Kata ya Magamba baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya uchimbaji madini Mkoani Songwe, Leo 23 Februari 2018.

Na Mathias Canal, Songwe

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko ameagiza wamiliki wa kampuni za uchimbaji wa Madini kote nchini kuwapatia mikataba ya kazi wafanyakazi wote pasina kubagua.

Mhe Biteko ametoa agizo hilo Leo 23 Februari 2018 wakati alipotembelea eneo la uchimbaji wa makaa ya mawe katika Kijiji na Kata ya Magamba, Wilayani Mbozi linalomilikiwa na kampuni ya Magamba Coal Mine.

Alisema amejiridhisha kuwa wafanyakazi wengi katika migodi mbalimbali nchini ukiwemo wa Magamba hawana mikataba jambo ambalo linafifihisha uhakika wa ajira zao.

Aidha, Naibu Waziri huyo wa Madini ametoa siku 14 kuanzia Leo 23 Februari 2018 mpaka 9 Machi 2018 kwa kampuni ya Magamba Coal Mine kuwa wamekamilisha taarifa ya utekelezaji wa maelekekezo ya ukaguzi wa migodi yaliyotolewa kwao na Ofisi ya Madini kanda hiyo.

Alisema kuwa endapo watashindwa kufanya hivyo ni wazi kuwa watakuwa wamekiuka masharti ya leseni zao na wajibu wao kwa jamii inayowazunguka na hivyo Wizara itawachukulia hatua bila kuchelewa.

Sambamba na hayo pia kampuni hiyo imetakiwa kuboresha na kuwa na mahusiano chanya na kijiji cha Magamba na serikali kwa ujumla ikiwemo kusaidia kuboresha baadhi ya maeneo ikiwemo sekta ya afya na elimu.

Naibu Waziri wa Madini akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Songwe alisema kuwa serikali imekusudia kurejesha uchumi fungamanishi kwa wananchi hivyo kampuni haziwezi kuwa na uchumi imara kama zitasalia kuendesha migodi pasina utaratibu wa kisheria.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/naibu-waziri-wa-madini-aagiza-kutolewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI"

Post a Comment

Loading...