Loading...
title : NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA
link : NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA
NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.
Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.
Hivyo makala NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA
yaani makala yote NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/ndalichako-msamalia-mwema.html
0 Response to "NDALICHAKO MSAMALIA MWEMA"
Post a Comment