Loading...

POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE

Loading...
POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE
link : POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE

soma pia


POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE

CHAMA cha Chadema kimedai kuna mikakati inayoratibiwa na usalama wa taifa kwa ajili ya kuwabambikia kesi za ugaidi, mauaji na uhaini, viongozi wa Chadema.


Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

"Kuna juhudi kubwa zinatumika kubambikia kesi viongozi za mauaji, ugaidi, na uhaini, na mkakati huu unaratibiwa na usalama wa Taifa, tunamwambia rais, hatutaridi nyuma katika kutafuta demokrasia," amesema.

Amesema kwamba katika mkoa wa Morogoro madiwani na wabunge wote wa Chadema wanakabiliwa na kesi mbalimbali za kubambikiwa.

Mbowe kazungumza mambo 3
1/ Mauaji yanayoendelea nchini
Amedai kuwa yanaratubiwa na serikali pamojana na viongozi Wa chama tawala lakini serikali na vyombo vya dola vimekuwa vukijaribu kuficha ukweli.

Amesema morogoro ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa mauaji hususani viongozi wa Chadema ambapo amesema hivi karibuni ameuawa diwani wao lakini pia mwenyekiti wa kijiji alishawahi kuuwawa.

2/ hukumu ya Sugu na Masonga
Mbowe amesema viongozi hawa wamefungwa kisiasa na ni kwamba kabla ya hukumu kutolewa walikwisha pata taarifa ya kifungo hicho.

Amesema mikakati ya hukumu hiyo ilifanywa hotelini ikiratibiwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala pamoja na usalama wa Taifa.

Amedai kuwa pamoja na kwamba jaji mkuu alishakataza wanasiasa kuingilia mahakama, lakini amedai kuwa pamoja na kwamba ndiyo chombo kinachotenda haki bado Wapo mahakimu wanaotumika kuwakandamiza viongozi wao akiwemo hakimu aliyetoa hukumu hiyo.

" Nimtake jaji mkuu alitesema hataki wanasiasa kuingilia mahakama, lakini tutaisema inapotenda vibaya, hatuingilii mahakama lakini tutasema watendaji wanapotumika vibaya," amesema.

3/ Uchaguzi wa kata na ubunge
Ametupia lawama NEC hususani Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani, amesema kuwa walikuwa wakimpigia simu, wakimfuata na kuzungumza kumweleza kamba uchaguzi hautakuwa wa hak kwani walimweleza kwamba hata wasimamiz wote ni ccm lakini hakuchukua hatua.

Mbowe amedai kuwa NEC inashindwa kusimamia kwa haki ili kumlidhisha Rais kwani wameruhusu kwa sasa hata kura kuibiwa kitoto waziwazi tofauti na zamani hata kama walikuwa wakiiba ilikuwa ni kwa siri.

Ameitaka NEC kama inajua uchaguzi si wahaki basi wasiwe wanawahusisha kwenye chaguzi hizo.


Hivyo makala POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE

yaani makala yote POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/povu-la-mbowe-baada-ya-kuachiwa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "POVU LA MBOWE BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA NA WENZAKE"

Post a Comment

Loading...