Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA
link : RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA
RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiashuhudia Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kula kiapo kuwa mabalozi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yakubu Mohamed aliyeungana na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama kushuhudia kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Bw. Rogers Sianga pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama waliofika kushuhudia kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 .
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-dkt-magufuli-awaapisha-dkt-wilbrod.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA"
Post a Comment