Loading...
title : RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO
link : RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO
RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Dk. Ali Mohamed Shein pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 13 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi mpya wa SUZA wa Dk Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Wakufunzi na Wahitimu wa Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar(SUZA) Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Salma Omar Hamad, wakati wa hafla ya Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ( SUZA) jumla ya wahitimu watano wametunukiwa Shadaha hiyo.
WAHITIMU wa Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa wahitimu wa mahafali ya 13 ya SUZA.
Hivyo makala RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO
yaani makala yote RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-shein-ahudhuria-mahafali-ya-13-ya.html
0 Response to "RAIS SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 13 YA SUZA ZANZIBAR LEO"
Post a Comment