Loading...
title : Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam.
link : Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam.
Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam.
Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka wakfu na kusimikwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt Jacob Chimeledya kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka wakfu na kusimikwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt Jacob Chimeledya kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaamRais Mstaafu Mhe. Benjamin Willim Mkapa akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe Augustino Ramadhani akipiga kinanda kwenye sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama janeth Magufuli wakikomunika kwenye sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama janeth Magufuli pamoja na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakishiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kushiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kushiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsihi Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob Chimeledya kuketi kwenya kiti alichoandaliwa yeye wakati wa kupiga picha za pamoja wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam
Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka sahihi hati ya kiapo baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo leo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob Chimeledya na viongozi wengine wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam.
yaani makala yote Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-wa-tanzania-dktjohn-magufuli.html
0 Response to "Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam."
Post a Comment