Loading...

StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao

Loading...
StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao
link : StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao

soma pia


StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao

 Kampuni ya Star Media (T) Ltd inayomiliki chapa ya StarTimes, jana katika Siku ya wapendanao iliwapatia fursa wateja wao kupata chakula cha jioni na wapenzi wao katika mgahawa wa kifahari wa Akemi, Posta jijini Dar es Salaam.
 StarTimes ambayo kwa wiki kadhaa iliwapatia nafasi wateja wake kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii kutuma picha wakiwa na wapenzi wao ili kujipatia nafasi hiyo adhimu ya kupata chakula cha jioni pamoja. Katika picha zote zilizotumwa na wateja wa StarTimes katika kurasa zao za mitandao ya kijamii, watano walibahatika kuchaguliwa na baadaye walipatiwa taarifa jinsi ya kufika kwenye mgahawa kwa ajili ya zawadi maalum.
Kabla ya kupelekwa mgahawani wapenzi hao walipata nafasi ya kutembelea ofisi za makao makuu ya Star Media (T) Ltd zilizopo Bamaga, Barabara ya Bagamoyo, Dar es Salaam, na kujionea jinsi ambavyo StarTimes hufanya kazi kila siku, miongoni mwa ofisi walizotembelea ni kituo cha Simu (Call Centre), Chumba cha Kurushia matangazo na Duka la vifaa mbalimbali vya StarTimes.
Wapendanao hao baadaye walipelekwa mgahawani kwa ajili ya Chakula cha jioni. Yote ikigharimiwa na kampuni ya StarTimes katika kuonyesha upendo kwa wateja wake katika Siku ya Wapendanao.



Hivyo makala StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao

yaani makala yote StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/startimes-yanogesha-siku-ya-wapendanao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao"

Post a Comment

Loading...