Loading...

TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA

Loading...
TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA
link : TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA

soma pia


TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA

Mwanasiasa maarufu nchini, Tambwe Hizza amefariki Dunia leo alfajiri nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, jijini Dar es salaam.

Inaelezwa kuwa Marehemu Tambwe Hizza amefikwa na mauti hayo akiwa usingizini, kwani jana mpaka usiku alionekana kuwa mzima na hana dalili zozote za kuumwa.

Taarifa za msiba huu zimethibitishwa na Msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tumaini Makene.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu, Hizza huko Mbagala Kizuiani, Jijini Dar es salaam.

Mungu ailaze mahapa pema roho ya Marehemu Tambwe Hizza - Amen.


Hivyo makala TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/tanzia-mwanasiasa-tambwe-hizza-afariki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment

Loading...