Loading...

TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA

Loading...
TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA
link : TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA

soma pia


TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii

TUME Usuluhishi na Uamuzi (CMA) imetoa tuzo kwa aliyekuwa Meneja wa Konyagi David Mgwassa ya kulipwa dola za Kimarekani 200, 000 ndani ya siku 14 kuanzia leo kama gharama za usumbufu baada ya kuachishwa kazi isivyo halali na Kampuni ya Tanzania Brewaries (TBL)

Pia  TBL inatakiwa kumlipa Mgwassa Sh.milioni 412   kama fidia ya kusitishwa kwa haki zake  na pia ilipe mkopo wa gari lenye thamani ya  Sh.milioni 94 ambalo lilikopwa na Mgwasa akiwa kazini.

Uamuzi huo umetolewa na Mwamuzi, Alfred Massay katika shauri la mgogoro wa kazi  lenye kumbukumbu namba CMA/DSM/ILALA/R.49/16,   ambapo Mgwassa alifungua madai mbalimbali dhidi ya TBL,  Sabmiller Africa na Sabmiller PLC-London. 

Mgwassa pamoja na mambo mengine mbali mbali, alikuwa akilalamikia kuachishwa kazi isivyohalali na kuomba alipwe mishahara ya miezi 36 kama fidia na pamoja na malipo ya bonasi kwa miezi mitatu ambayo ni sawa na zaidi ya Sh.milioni 261.5.

Mgwassa aliajiriwa na TBL kati ya Februari mwaka 1982 na Juni mwaka  2015 na katika kipindi cha kusitishwa kwa mkataba wake wa ajira alikilipwa mshahara wa Sh. 17,191,451.88 kwa mwezi.

Hata hivyo, ajira kati ya TBL na Mgwassa ilifikia mwisho Juni 25 mwaka  2015 baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya mkataba wa kustaafu mapema

baada ya uamuzi huo kutolewa,Mgwassa aliyekuwa akiwakilishwa na Wakili Alex Mshumbusi alisema ameridhishwa na uamuzi huo.


Hivyo makala TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA

yaani makala yote TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/tbl-yatakiwa-kumlipa-david-mgwassa-sh.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA"

Post a Comment

Loading...