Loading...

Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani .

Loading...
Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani .
link : Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani .

soma pia


Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani .

Na.Is-Haka Omar -Zanzibar.  ,
MUASISI wa Afro-Shiraz Party (ASP) Bi. Sihaba Ismail Farhan amesema tunu ya urithi wa Uongozi bora na Demokrasi iliyotukuka vilivyo asisiwa na Viongozi wa ASP na TANU leo vinatekelezwa kwa Vitendo na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kauli hiyo ameitoa leo katika Mahojiano Maalum na Kitengo Cha Habari Cha Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, amesema miongoni mwa tunu hizo zilizoenziwa ndani ya kipindi cha miaka 41 ya CCM ni pamoja na uimarishaji wa dhana ya utawala bora, Sekta za Elimu, Afya, Uvuvi, Kilimo, Miundombinu katika Sekta za Anga, Nchi kavu na Baharini.
Amesema maendeleo yaliyofikiwa katika Nyanja hizo ni juhudi za kiutendaji zilizofanywa n aSerikali ya Awamuya Saba chini ya uongozi wa Dk. Ali Mohamed Shein.
Hata hivyo Bi.Sihaba ameongeza kuwa Uchumi wa Zanzibar unaendelea kukua kwa kasi kutokana na Uelezi na ustadi wa CCM katika usimamizi mzuri wa Sera zake kupitia Ilani ya Uchaguzi ya Chama.
Aidha Muasisi huyo ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya utetezi wa Haki za Wanawake nchini, alisema ndani ya miaka 41 yakuzaliwa kwa CCM, Chama kimeruhusu mfumo huru wa ushindani wa kisiasa unaowawezesha wanawake wengi kupata nafasi za ngazi za juu katika Vyombo vya kufanya maamuzi.
Amewapongeza Marais wote ambao ni Raiswa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John PombeMagufulikwakulindaMuunganowaasiliwaSerikalimbiliambaonimojakatiyaurithiwa ASP na TANU.
Pamoja na hayo ameiponge za Serikali ya Awamuya Saba yaMapinduziya Zanzibar ChiniyaUongoziwa Dk. Shein kwa kujali maslahi ya makund imbalimbali wakiwemo Watu wenye ulemavu, Watoto na Wazee.
“ Dk. Shein ameanzisha pencheni ya Wazee bila kubagua kwa sasa kjla mwezi tunapata shilingi 20,000 Mwenyezi Mungu amjalie mema kwani maamuzi kitendo hiki kina ni kumbusha Enzi za Marehemu Mzee Abeid Karume jinsi alivyokuwa akiwajali Wazee”, anaeleza
Mapema akitoa historia ya CCM alisema mnamo Februari 5, 1977 bendera za ASP na TANU zilishushwa na kupandishwa pendera moja ya CCM, ambapo wananchi wengi waliudhuria hafla hiyo.


Hivyo makala Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani .

yaani makala yote Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/urithi-wa-uongozi-bora-na-demokrasia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Urithi wa Uongozi Bora na Demokrasia Iliotukuka Visiwani ."

Post a Comment

Loading...