Loading...
title : POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
link : POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL), mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Said Nguba aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa UPL, na Wengine kutoka watatu kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero, Mhariri Mtendaji wa zamani wa UPL Jose[h Kulangwa na Kaim Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali
MWANZO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akifungua mfuko wenye gazerti la Uhuru, kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo leo. Kulia ni kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero na Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa zamani saidi Nguba

Mhariri Mtendaji wa zamani Joseph Kulangwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali wakifurahia nakala ya Uhuru lenye muonekano mpya baada ya kuzinduliwa muonekano huo
Ndani ya chumba cha habari cha UPL wakati mjadala ukiendelea.
Hivyo makala POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/polepole-azindua-muonekano-mpya-wa.html
0 Response to "POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment