Loading...

WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)

Loading...
WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)
link : WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)

soma pia


WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)


Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akizungumza katika mkutano na wananchi wa Kipunguni A na Mashariki, Dar es Salaam kuhusu ulipwaji wa fidia kwa wananchi hao, ili kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongele.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Bw. Edward Mpogolo, akizungumza katika mkutano na wananchi wa Kipunguni A na Mashariki, Dar es Salaam kuhusu ulipwaji wa fidia kwa wananchi hao kwa ajili ya upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Mkazi wa Kipunguni Mashariki Dar es Salaam leo akichangia mada katika mkutano wa ulipwaji wa fidia kwa ajili ya upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).


Mkazi wa Kipunguni Mashariki, Bw. Daudi Peter, akichangia hoja katika mkutano wa ulipwaji wa fidia kwa ajili ya kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayon gela, akizungumza na wanannchi Kipunguni A na Mashariki, kuhusu ulipwaji wa fidia kwa ajili ya kupisha upanuzi wa kiwanja cha Ndege.


Hivyo makala WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)

yaani makala yote WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wakazi-wa-kipunguni-kupisha-upanuzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)"

Post a Comment

Loading...