Loading...

WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE

Loading...
WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE
link : WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE

soma pia


WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE

Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nenelwa Wankanga akifungua semina ya Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge kwa Wakurugenzi, Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Vitengo na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge iliyoanza leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia semina iliyotolewa na Wahadhiri waandimizi kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge, iliyofanyika leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.
Mhadhiri Mwandamizi kutoka Chuo kikuu Mzumbe, Ndg. Alloyce Maziku akizungumza na Wakurugenzi, Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Vitengo na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati akitoa maada katika semina ya Jinsi gani ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge iliyofanyika leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Bunge wakifuatilia semina iliyotolewa na Wahadhiri waandimizi kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge, iliyofanyika leo katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma.PICHA NA OFISI YA BUNGE.


Hivyo makala WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE

yaani makala yote WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wakurugenzi-wakurugenzi-wasaidizi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WAPATIWA SEMINA JINSI YA KUKABILIANA NA VIHASHIRIA HATARISHI NDANI YA OFISI YA BUNGE"

Post a Comment

Loading...