Loading...

WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO

Loading...
WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO
link : WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO

soma pia


WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO

*Serikali yapiga marufuku mashirika kutoa takwimu ambazo hazina uthibitisho wa ofisi ya Takwimu

Na Said Mwishehe,Globu ya Jamii

WAZIRI wa Fedha na Mipango,Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inakadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao milioni 54.2 huku asilimia 50 wakiwa ni wa umri chini ya miaka 18.

Pia Dk.Mpango amewakumbusha wadau wote wa ndani na nje ya nchi kuwa takwimu za idadi ya watu kwa nchi ya Tanzania ni hizo ambazo amezitangaza leo na si vinginevyo.
.
Hivyo amepiga marufuku kwa shirika lolote kufanya makadirio ya idadi ya watu wa Tanzania na kuchapisha matokeo hayo bila kushirikisha Ofisi ya Taiga ya Takwimu na atakayebainika kufanya hivyo watamchukulia hatua kali za kisheria.

Dk.Mpango amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anazondua taarifa ya makisio ya idadi ya watu Tanzania amvapo amesema kwa makadirio yaliyotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012.

Na kuzingatia viwango vya uzazi na vifo kwa takwimu za mwaka 2016, idadi ya watu Tanzania sasa ni milioni 52.6 ambapo Tanzania Bara ni watu milioni 52.6 na Tanzania Bara watu milioni 1.6 kwa mwaka 2018.Dk.Mpango amesema idadi hiyo inakadiriwa kufikia watu milioni 59.4 mwaka 2021 na ifikapo mwaka 2030 idadi ya watu itafikia milioni 77.5.

Amefafanua kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 inakadiriwa kuwa kila mwaka kuna ongezeko la wastani watu wapatao milioni 1.6 hapa nchini.Dk.Mpango amesema ongezeko hill linatokana na idadi kubwa vya vizazi vipatavyo milioni 2.0 ikilinganishwa na idadi ndogo ya vifo ambavyo ni takribani 400,000 kwa mwaka.



Hivyo makala WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO

yaani makala yote WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/watanzania-sasa-wafikia-milioni-542.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATANZANIA SASA WAFIKIA MILIONI 54.2, NUSU YA WATU WOTE NI WATOTO"

Post a Comment

Loading...