Loading...
title : Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako
link : Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako
Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako
Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe (kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum (kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Meneja Masoko wa Zantel Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemedy (kushoto) na Mtaalam wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed, wakichezesha droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu.
Hivyo makala Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako
yaani makala yote Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wateja-wa-zantel-waendelea-kuzoa-zawadi.html
0 Response to "Wateja wa Zantel waendelea kuzoa zawadi promosheni ya Jero yako"
Post a Comment