Loading...

UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII

Loading...
UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII
link : UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII

soma pia


UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII

 Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo  ya Filamu Benson Mkenda.
  Afisa Maendeleo  ya Filamu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Benson Mkenda akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kushoto ni Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo
 Mhasibu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Adrian akitoa ufafanuzi kuhusu namna  wanavyoshughulikia malipo ya wadau wanapowasilisha maombi ya vibali vya filamu katika  ofisi yao  wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. 
 Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akionyesho kanuni zinazotumika katika sekta ya filamu nchini wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya hiyo ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo  ya Filamu Benson  Mkenda.
  Katibu Mtendaji wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) Sirili Akko akichangia hoja wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
 Mmoja wa washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utalii Tanzania (TATO)  ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya African Environments Bw. Richard Beatty akichangia hoja wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
  Mmoja wa washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO)  ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya Jevas Hotel Bw. Leopald Kabendera akichangia hoja wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. 
Baadhi ya washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO)  wakifuatilia mada wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)



Hivyo makala UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII

yaani makala yote UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/utendaji-kazi-bodi-ya-filamu-wawakuna.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTENDAJI KAZI BODI YA FILAMU WAWAKUNA WAENDESHA BIASHARA ZA UTALII"

Post a Comment

Loading...