Loading...

YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA

Loading...
YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA
link : YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA

soma pia


YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA

 Raundi ya nne ya michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (Azam Sports Federation Cup) imefanyika leo kwa timu 16 zimehusika katika droo hiyo.

Miongoni mwa timu hizo ni ile ya Buseresere FC ambao ni mabingwa wa mkoa wa Geita (Timu pekee ya ligi daraja la tatu) ambao wao wamepangwa kucheza na Mtibwa Sugar katika uwanja wa Taifa Kahama uliopo mkoani Shinyanga.

Yanga ambao walikuwa mabingwa wa msimu wa 2015/16 wamepangwa kucheza Wanalizombe timu ya soka ya Majimaji katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.

Wakati huo huo Dodoma Fc inarejea tena mkoani Shinyanga na mara hii amepangwa kucheza na Stand United katika uwanja wa CCM Kambarage, ikumbukwe katika raundi ya tatu timu ya Dodoma FC inayoongozwa na Julio waliwatoa Mwadui FC.

Ratiba kamili. 
Stand United Vs Dodoma FC - CCM Kambarage, Shinyanga.

JKT Tanzania SC Vs Ndanda FC - Mbweni, Dar.

Kiluvya United Vs Tanzania Prisons - Filbert Bayi, Pwani.

KMC Vs Azam - Uhuru, Dar.

Majimaji Vs Young Africans SC - Majimaji, Ruvuma.

Singida United Vs Polisi Tanzania - Namfua, Singida.

Njombe Mji Vs Mbao FC - Sabasaba, Njombe.

Buseresere FC Vs Mtibwa Sugar - Taifa Kahama, Shinyanga.

Mechi hizo za hatua ya 16 bora zimepangwa kuchezwa Kati ya Februari 22 hadi 25 ambapo washindi watakwenda moja kwa moja katika hatua ya robo fainali na baadae nusu fainali.

Ikumbukwe mpaka sasa hakuna bingwa mtetezi kwani waliokuwa mabingwa Simba SC walitolewa mapema katika hatua ya pili ya mashindano hayo na timu ya Green Warriors ambao nao waliishia mikononi mwa Singida United. Bingwa wa michuano hiyo ataliwakilisha Taifa katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika mwakani.


Hivyo makala YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA

yaani makala yote YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/yanga-kuifuata-majimaji-songea-16-bora.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA"

Post a Comment

Loading...