Loading...

Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini

Loading...
Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini
link : Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini

soma pia


Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21 za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari kuhusu usajili wa Tigo kili half Marathon unaondelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu.

Usajili na kuchukua namba za ushiriki wa Tigo Kili Half Marathon 2018 umeanza leo katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Watu wengi wa rika zote wamejitokeza leo kukamilisha usajili wao ili kukimbia mbio hizo za KM 5, Km 21 na KM 42 ambazo zitafanyika katika viwanja vya ushirika Moshi tarehe 8 Machi, 2018. 

Akizungumza na waandishi wa habari katika eneo ambapo usajili ulikuwa unaendelea, Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael alisema kuwa wateja wa Tigo wanaweza pia kujisajili kupitia namba *149*20#

 'Kujisajili, piga namba *149*20#   kisha fuata maelekezo rahisi ili ukamilishe usajili na kufanya malipo. Utapata ujumbe mfupi wa maneno (SMS) unaothibitisha muamala wako. Tunza ujumbe huo mfupi na kisha nenda nao pamoja na kitambulisho chako halisi katika vituo vilivyotajwa  ili kuchukua namba yako  ya ushiriki' alisema Woinde.

Vituo, tarehe na maeneo ambapo zoezi la kukamilisha usajili na kupokea namba ya ushiriki ni kama ifuatavyo; 
Dar es Salaam

TAREHE : 24 & 25 Februari - Jumamosi Na Jumapili.
MUDA: Saa Sita mchana hadi saa Kumi na Moja jioni
MAHALI: Mlimani City Mall karibu na Mgahawa wa Grano
 Arusha:

TAREHE: 27 & 28 February – Jumanne na Jumatano
MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili usiku.
MAHALI: Kibo Palace Hotel (Mlango wa Nyuma Parking )

Moshi

Tarehe: 01 March -  Alhamisi Saa Sita Mchana hadi saa Moja UsikuTarehe 02 March – Ijumaa Saa Nne Asubuhi Hadi saa Moja Usiku
Tarehe 3 March– Jumamosi Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mchana
Mahali: Keys Hotel. Uru Road


Hivyo makala Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini

yaani makala yote Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/zoezi-la-usajili-tigo-kili-half.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini"

Post a Comment

Loading...