Loading...
title : Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.
link : Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.
Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.
Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar akitowa Elimu ya Viwango vya Matairi yanayoingizwa kuingizwa Zanzibar na Wafanyabiasha Kwa ajili ya Matumizi ya Magari yakiwa na Viwango vya kimataifa. Mafunzo hayo yamewashirikisha waingizaji wa Matairi na Wafanyabiasha kuweza kukidhi mahitaji ya matumizi ya Matairi hayo kupunguza ajali zinazosababisha na Matairi yanayoingizwa Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo ya Ubora wa Matairi.
Hivyo makala Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.
yaani makala yote Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/taasisi-ya-viwango-zanzibar-yatowa.html
0 Response to "Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar."
Post a Comment