Loading...

Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.

Loading...
Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.
link : Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.

soma pia


Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.

Na Agness Francis, Globu ya jamii 
Kikosi cha AzamFc kukutana na Mtibwa sugar robo fainali ya Michuano  Kombe la Shirikisho  la Azam Sports  Federation Cup (ASFC). 

Ambapo Mabingwa wa Afrika Mashariki na kati AzamFc watawakaribisha Mtibwa Sugar ya Mkoani morogoro katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi

Akizungumza ofisini kwake leo Jijini Dar es salaam Ofisa Habari AzamFc Jaffary Maganga amesema kuwa wanasubiri tarehe ya mchezo huo  ambayo Bado haijatajwa. 

"Tunasubiri tu tarehe ya mchezo  ili kujua  mandalizi  yetu yanakwenda vipi na ukizingatia kikosi ni kigumu,  wana wachezaji wenye uwezo mkubwa  na Mwalimu  wao ni mzuri ila tutaakikisha tunalinda ushindi wa kuchezea  nyumbani ikiwa kila Timu Ina presha ya kutaka kusonga mbele zaidi ukizingatia ni mashindano ya mtoano ambapo ukifungwa unatolewa kwenye Michuano hiyo"amesema Jaffary.  

Maganga amemalizia  kuwa mashindano hayo yenye heshima kubwa  ambapo mshindi  wa michuano hiyo hupata nafasi ya kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa  na kuiwakilisha Nchi.
Ofisa Habari Azam Fc, Jaffary Iddy Maganga akizungumza ofisini kwake leo Jijini Dar es salaam kuhusu mchezo wao dhidi ya Mtibwa sugar katika droo iliyochezeshwa ya robo Fainali ya mashindano ya kombe la shirikisho  Azam  sports federation cup   (ASFC).


Hivyo makala Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.

yaani makala yote Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/azam-fc-mtibwa-sugar-uso-kwa-uso-fa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA."

Post a Comment

Loading...