Loading...
title : DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU
link : DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU
DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema,akikata utepe na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wa Kata ya Kisukulu wakati wa kuweka jiwe la smingi wa kisima kirefu cha maji cha kata ya Kisukuru.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema,akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Kisima cha maji cha kata ya Kisukuru leo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akizungumza wakati wa kuweka jiwe la msingi wa kisima cha maji katika kata ya Kisukulu ikiwa shemu ya maadhimisho ya wiki ya maji katika Wilaya hiyo ambapo Kisima hicho kitaweza kusaidia wakazi wote wa kata hiyo.
Diwani wa kata ya Kisukuru, Joseph Kasaenda akitoa neno la Shukrani kwa mkuu wa Wilaya mara baada ya uzinduzi wa jiwe la msingi katika kata hiyo.
Makada wawili wa Chama Cha Mapinduzi na CHADEMA, wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa jiwe la msingi la Kisima Cha Maji.
baadahi ya wakazi wa Kisukulu waliofika katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa uzinduzi wa kisima cha maji.
Hivyo makala DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU
yaani makala yote DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/dc-mjema-aweka-jiwe-la-msingi-kisima.html
0 Response to "DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU"
Post a Comment