Loading...
title : Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi
link : Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi
Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo kabla ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika Mkoa wa Kusini Unguja ambapo waislamu mbali mbali walihudhuria,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mashekhe wakati alipowasili katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja kabla ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika Mkoa wa Kusini Unguja ambapo waislamu mbali mbali katika Mkoa huo walihudhuria,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali na Mashekhe wa Mkoa wa Kusini Unguja katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,ambapo Swala hiyo imeongozwa na Sheikh Suleiman Haji Ibrahim,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,ambapo Sheikh Suleiman Haji Ibrahim(hayupo pichani) aliongoza Swala hiyo,iliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Baadhi ya akinamama waliojumuika katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Sheikh Abdalla Issa Makame (kulia) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja akisoma Khutba mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika uwanja wa Jamhuri Makunduchi,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika Swala ya Eid el Hajj wakisikiliza Khutba iliyosomwa na Sheikh Abdalla Issa Makame (hayupo pichani) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini,ambapo Viongozi wa Kitaifa walihudhuria katika Swala hiyo iliyoswaliwa Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Makunduzi Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Waislamu wakimsikiliza Sheikh Abdalla Issa Makame (hayupo pichani) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini akisoma Khutba ya Swala ya Eid el Hajj, mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala hiyo iliyoswaliwa katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine na Waislamu mbali mbali waliohudhuria katika Swala ya Eid el Hajj wakiitikia dua iliyoombwa na Sheikh Abubakar Ali Mohamed (wa pili kuilia) baada ya Swala hiyo iliyoswaliwa Kitaifa katika Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi, Wilaya ya Kusini,[Picha na Ikulu.] 22 Aug 2018.
Hivyo makala Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi
yaani makala yote Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/sala-ya-eid-el-hajj-ilivyosaliwa.html
0 Response to "Sala ya Eid el Hajj ilivyosaliwa kitaifa Makunduchi"
Post a Comment