Loading...
title : IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
link : IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akitoa hotuba katika Mahafali ya kuwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Sehemu ya wahitimu wa astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya Polisi. Sherehe zilifanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI
yaani makala yote IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/igp-sirro-awatunuku-stashahada-na.html
0 Response to "IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI"
Post a Comment