Loading...
title : MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5
link : MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5
MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5
Na Zainab Nyamka,Globu ua Jamii
KATIBU Mkuu wa Klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwasa ametangaza siku maalumu ambayo klabu itafanya mkutano mkuu wa wanachama wote,kujadili masuala mbalimbali muhimu ya maendeleo ambayo itakuwa Mei 5 mwaka huu.
Mkwasa amesema kuwa wanachama wa Yanga wanapaswa kufanya maandalizi ya kuhudhuria mkutano huo sasa kwa kulipa ada zao mapema kwa sababu kwenye mkutano huo ukaguzi mkubwa utafanyika kabla ya watu kuingia ndani ya ukumbi.
Akizungumza leo ,Mkwasa amesema mkutano huo utafanyika Mei 5 mwaka huu jijini Dar es Salaam, hivyo wanachama wenye kadi aina zote mbili wataruhusiwa kuingia ukumbuni, kwa maana ya wale wote wenye kadi za zamani na kadi mpya zinazotolewa na benki ya Posta.
Akiendelea zaidi Mkwasa amesema kupitia kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika Jumapili iliyopita, kamati imeridhia kufanyika kwa Mkutano huo, na kuomba wanachama kujindaa kwa ajenda ambazo zitatangazwa baaadae.
Hivyo makala MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5
yaani makala yote MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mkutano-mkuu-wa-yanga-sasa-rasmi-mei-5.html
0 Response to "MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5"
Post a Comment