Loading...
title : JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
link : JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwanasheria Mkuu Dk. Adelardus Kilangi akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Wilbroad Slaa walipokutana nje ya Jengo ambalo lina Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki . Mwanasheria Mkuu alikuwa akimsubiri kumpokea mgeni wake Jaji Mkuu wa Gambia Mhe. Hassan Jallow ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akimlaki Mgeni wake Jaji Mkuu wa Gambia Mhe. Hassan Bubacar Jallow mara alipowasili kwa mazungumzo. Jaji Mkuu Jallow alisoma sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1970-1973) na pia amewahi kuwa Mwendesha Mashtaka wa iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda
( ICTR) (2003-2015).
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi akibadilishana mawazo na Jaji Mkuu wa Gambia Mhe. Hassan Bubacar Jallow, leo Ofisi kwa Mwanasheria Mkuu. Jaji Mkuu yupo hapa nchini kwa ziara ya kikazi yenye madhumuni ya kujifunza uboreshaji wa sekta ya sheria na utoaji haki hapa nchini. Baadhi ya mambo waliyobadilishana mawazo ni pamoja na uwezeshwaji kwa wanasheria wa Serikali na watumishi wengine katika sekta ya sheria kimaslahi na kimafunzo.
Hivyo makala JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/jaji-mkuu-wa-gambia-amtembelea.html
0 Response to "JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment