Loading...
title : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO
link : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Edgar Mwakapala akionesha jinsi ya kuzima moto kwa kutumia blanket maalumu la kuzimia moto kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wakati wa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto mapema leo asubuhi.
Mmoja kati ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala akifanya mafunzo ya kuzima moto kwa vitendo kwa kutumia kizimia moto chenye mchanganyiko wa maji na povu (Foam) wakati wa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto mapema leo asubuhi.
(Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI, DHIDI YA MOTO NA KUTOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA VIFAA VYA KUZIMIA MOTO VYA HUDUMA YA KWANZA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI.
Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO
yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-lafanya.html
0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO"
Post a Comment