Loading...
title : Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI.
link : Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI.
Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI.

Vigogo watano wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU) wakiwemo mwenyekiti wa sasa wa KNCU Aloyce Kitau na Mwenyekiti mstaafu wa KNCU ,Maynald Swai wamefikishwa muda huu katika viunga vya mahakama ya Hakimu mkazi,Moshi.
Wamo pia aliyekuwa Meneja wa TCCCo Andrew Kleruu, Meneja wa KNCU ,Honest Temba na Makamu mwenyekiti wa KNCU,Khatibu Mwanga.
HABARI ZAIDI TUTAWALETEA.

Hivyo makala Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI.
yaani makala yote Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/breaking-newzzzzzzzzzzzvigogo-watano-wa.html
0 Response to "Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI."
Post a Comment