Loading...

MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

Loading...
MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
link : MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

soma pia


MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

Malkia wa nyimbo za Injili hapa nchini,Rose Muhando ametihitisha kushiriki  tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Aprili 1 na Aprili 2 kwenye uwanja wa Halmashauri mjini Bariadi Mkoani Simiyu. 

Akizungumza hivi karibuni wakati wa maandalizi yake,Rose Muhando amesema yuko tayari kwa kazi ya kuburudisha katika tamasha hilo ambapo pia atazindua albam yake yenye jumla ya nyimbo saba,itakayojulikana kwa kwa jina la “Usivunjike Moyo” .

Katika Tamasha hilo Kiingilio kimepangwa kuwa, watu wazima ni  shilingi Elfu 5000 na watoto itakuwa ni shilingi 2000 na Kiingilio katika tamasha la Pasaka mkoani Simiyu watu wazima itakuwa ni shilingi 3000 na watoto ni shilingi 2000.


Hivyo makala MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA

yaani makala yote MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/malikia-wa-nyimbo-za-injili-rose.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MALIKIA WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO ATHIBITISHA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA"

Post a Comment

Loading...