Loading...
title : MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO
link : MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO
MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO
.
"Haya Mama chukua kichana chetu.." akasema Mama Kabaka wakati akirejesha mtoto kwa Mariamu Salum baada ya kumkabidhi zawadi ya kanga.
Mama Gaudentia Kabaka akitoa zawadi za juisi kwa kina mama waliojifungua katika hospitali hiyo ya Mbagala Ranitatu
Baadhi ya Kinamama wakaiwa na zawadi za kanga na sabuni ambazo Mama Kabaka aliawa kwa kina amama waliojifunua katika hospitali hiyo.
"Hebu chukua kanga hii kutoka kwa kina mama wenzako.." akasema Mama Kabaka wakati akimkabidhi Mwajuma Ally aliyejfungua mtoto katika hospitali ya Mbagala Rangitatu
.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka akimpa zawadi ya kanga mmoja wa wauuzi katika hospitali ya Mbagala Rangitatu wakati wa ziara hiyo
"Wauuzi na Madaktari honereni kwa kazi nzuri na hasa kwa kujali afya za kina mama na watoto...endeleni kuchapa kazi tupo pamoja nanyi", alisema Mama Kabaka wakati akizunumza na baadhi ya wauguzi na madaktari wa hospitali ya Mbagala Ranitatu wakati wa ziara hiyo. Kushoto ni Matroni wa wodi ya Wazazi Maria Lumambo.
Hivyo makala MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO
yaani makala yote MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mwenyekiti-wa-uwt-gaudencia-kabaka.html
0 Response to "MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO"
Post a Comment