Loading...

RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA

Loading...
RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA
link : RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA

soma pia


RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida 
 Wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika eneo hilo wakati akielekea mkoani Singida.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amekalia moja ya kiti kilichotengenezwa na kiwanda cha Kahama Oil mills wakati akikagua bidhaa zinazo tengenezwa kiwandani hapo Kahama mkoani Shinyanga. Pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telak.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya mabomba ya plastik yanayo tengenezwa katika kiwanda hicho cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha  Kahama Oil mills mara baada ya kukifungua.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tinde mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea mkoani Singida. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-afungua-kiwanda-cha-chuma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA"

Post a Comment

Loading...